Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika
mkutano wa hadhara wa CCM, kwenye Uwanja wa mpira mjini Ludewa mkoni
Njombe, leo May 28, 2013. Kinana ambaye yupo katika ziara ya siku saba,
kukagua utekelezaji wa ilani ya chama na kuzungumza na wananchi mkoani
Njombe, amefuatana na Katiobu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye.
Baadhi
ya maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara wa CCM
uliofanyika Mei 28, 2013 katika Uwanja wa mpira mjini Ludewa mkoani
Njombe.


0 comments:
Chapisha Maoni