Searching...
Jumatano, 8 Mei 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA ALHAMISI MAY 08,2013 UKIWA NA TAHADHARI



WIZARA YA UCHUKUZI
                               MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
ITV – INDEPENDENT TELEVISION /RADIO ONE

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.

TAREHE 08/05/2013.



 
[Mikoa ya Kagera, Mara, Mwanza  na  Shinyanga]:
[Mkoa wa Kigoma  ]:


Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika  maeneo machache na vipindi  vya jua
[Mikoa ya Dar Es Salaam, Pwani na Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mikoa ya, Mbeya na Iringa]:

Hali ya mawingu kiasi na mvua katika
maeneo  machache na vipindi  vya  jua.
[Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:
[Mikoa ya Morogoro, Rukwa,  na Ruvuma]  :
[Mikoa ya Dodoma, Singida na Tabora]:
[Mikoa ya Mtwara na Lindi]


Hali ya mawingu kiasi na vipindi  vya  jua.

TAHADHARI:  UPEPO MKALI ZAIDI YA KM 40 KWA SAA UTAKAOAMBATANA NA  MAWIMBI MAKUBWA        
                         YANAYOZIDI MITA 2.0  UNATARAJIWA KATIKA  UKANDA WOTE WA PWANI.TAFADHALI        
                        CHUKUA TAHADHARI

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
23°C               
12:30
D'SALAAM
31°C           
12:15
DODOMA
29°C
12:30
KIGOMA           
31°C
12:55
MBEYA
22°C
12:36
MWANZA
28°C
12:45
TABORA
29°C
12:43
TANGA
31°C
12:18
ZANZIBAR
30°C           
12:15
PEMBA
30°C           
12:18
MOROGORO
30°C           
12:22

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma  kutoka  Kusini kwa kasi ya km 40 kwa saa katika Pwani yote

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi makubwa.

Matazamio kwa usiku wa leo Jumatano: 08/05/2013: Mabadiliko kidogo.

 Utabiri huu umetolewa leo tarehe 08/05/2013.
 
 Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!