Kocha wa Barcelona Tito Villanova amethibitisha kwamba mchezaji wake Javier Mascherano, 28, hatocheza mechi ya nusu fainali ya pili ya klabu bingwa ulaya dhidi ya Bayern Munich usiku wa leo.
Full story: Marca (in Spanish)
Mchezaji wa Manchester united Wayne Rooney, 27, ameitaka klabu yake kumuhakikishia nafasi yake klabuni hapo kufuatia tetesi za usajili wa wachezaji wanaocheza nafasi sawa na yake Robert Lewandowski, kutoka Borussia Dortmund,na Atletico Madrid Radamel Falcao ambao wanahusishwa kutua Man U msimu ujao
Full story: Daily Mail
Mkurugenzi wa ufundi wa Real Madrid Zinedine Zidane amesema anaamini kwamba Tottenham watamuachia mshambuliaji wao Gareth Bale, 23,. kwa ada ya Euro million 60 kujiunga na klabu yao baada ya dirisha la usajili kufunguliwa
Full story: Daily Mail
Klabu ya Manchester United wamesema wapo na mikakati ya kumsainisha kiungo wa kimataifa wa Italia Claudio Marchisio 27,kutoka klabu ya Juventus.
Full story: talkSPORT
0 comments:
Chapisha Maoni