Mh.
Dk. Emmanuel Nchimbi akiweka shada la maua kwenye Mnara wa kumbukumbu
ya Mashujaa uliopo katika viwanja vya Mnazi Mmoja wakati wa maadhimisho
ya kuwakumbuka Askari wa Kulinda Amani wa Umoja wa mataifa waliopoteza
maisha wakiwa kazini.
Mwakilishi
wa Shirika la Chakula Duniani nchini Tanzania (WFP) Bw. Richard Ragan
akielekea kuweka shada la maua kwenye maadhimisho ya kuwakumbuka Askari
wa Kulinda Amani wa Umoja wa Mataifa yaliyofanyika leo kwenye mnara wa
kumbukumbu ya Mashujaa uliopo viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar.
Mwakilishi wa Shirika la Chakula Duniani nchini Tanzania (WFP) Bw. Richard Ragan akiweka shada la maua kwenye mnara huo.
Kanali
Dominic Mrope wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) akiweka shada la
maua kwenye mnara wa kumbukumbu ya Mashujaa kwa niaba ya Meja Jenerali
Salum Mustafa Kijuu wakati wa maadhimisho ya siku ya kuwakumbuka Askari
wa kulinda Amani wa Umoja wa mataifa yaliyofanyika kwenye viwanja vya
Mnazi Mmoja leo.
Kanali Dominic Mrope wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) akitoa heshima zake mara baada ya kuweka shada la maua.
Mgeni
rasmi Waziri wa Mambo ya Ndani Dk. Emmanuel Nchimbi akiwasili kwenye
Mnara wa Mashujaa viwanja vya Mnazi Mmoja katika maadhimisho ya
kumbukumbu ya Askari wa Kulinda amani wa Umoja wa Mataifa yaliyofanyika
leo jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na mabalozi wa nchi mbalimbali
pamoja viongozi wa dini.
Mwakilishi
wa Shirika la Chakula Duniani nchini Tanzania (WFP) Bw. Richard Ragan
akiwasili kwenye viwanja hivyo jijini Dar es Salaam kushiriki kwenye
maadhimisho ya kumbukumbu ya Askari wa Kulinda amani wa Umoja wa
Mataifa.
Mgeni
rasmi Waziri Mambo ya Ndani nchini Dk. Emmanuel Nchimbi, Mwakilishi wa
Shirika la Chakula Duniani nchini Tanzania (WFP) Bw. Richard Ragan na
Kanali Dominic Mrope wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) wakitoa
heshima kwa wimbo wa mataifa kwenye maadhimisho hayo.
Mgeni
rasmi Waziri Mambo ya Ndani nchini Dk. Emmanuel Nchimbi akielekea
kuweka shada la maua kwenye Mnara wa Mashujaa ikiwa ni ishara ya
kuwakumbuka askari wa kulinda Amani wa Umoja wa Mataifa walipoteza
maisha wakiwa kazini.
Mmoja
wa askari wa JWTZ akipandisha bendera ya Umoja wa Mataifa kama ishara ya
kumbukumbu ya Askari wa Umoja huo wanaolinda Amani katika nchi
mbalimbali za Afrika.
Mgeni
rasmi Waziri wa Mambo ya Ndani Dk. Emmanuel Nchimbi akizungumza na
wageni waalikwa wakati wa maadhimisho ya kuwakumba Askari wa Umoja wa
mataifa wa Kulinda Amani yaliyofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja
jijini Dar es Salaam leo.
Mwakilishi
wa Shirika la Chakula Duniani nchini Tanzania (WFP) Bw. Richard Ragan
akizungumza kwa niaba ya Mratibu Kazi wa Umoja wa Mataifa hapa nchini
Dk. Alberic Kacou kwenye maadhimisho ya Siku ya kumbukumbu ya Askari wa
Umoja wa Mataifa wa kulinda Amani yaliyofanyika jijini Dar es Salaam
leo.
0 comments:
Chapisha Maoni