CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI MKOANI TABORA KATIKA KUAZIMISHA SIKU YA
UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI, WAMEWATEMBELEA WAZEE WASIIOJIWEZA
WANAOISHI KATIKA KIJIJI CHA AMANI KATIKA MANISPAA YA TABORA AMBAPO
WAMETOA ZAWADI MBALI MBALI ZA CHAKULA
WAANDISHI WA HABARI WAKIWASILI KIJIJI VHA AMANI TABORA TAYARI KUTOA MSAADA KWA WAZEE WASIOJIWEZA.
WAANDISHI WA HABARI WAKIWASILI KIJIJI VHA AMANI TABORA TAYARI KUTOA MSAADA KWA WAZEE WASIOJIWEZA.
BAADHI YA WANAHABARI WA TABORA.
BAADHI YA MISAADA WAANDISHI WA HABARI WALIYOWAPELEKEA WAZEE WASIOJIWEZA WANAOISHI KIJIJI CHA AMANI TABORA.
WAZEE WAKIPOKEA MSAADA HUO.
WAZEE HAO WAKISIKILIZA JAMBO KUTOKA KWA WANAHABARI(HAWAPO PICHANI)
WAANDISHI WA HABARI WAKIW AKIJIJI CHA AMANI-TABORA
MAJENGO YA KIJIJI CHA AMANI-TABORA.
WAANDISHI WAKISHUHUDIA MAKABIDHIANO HAYO.
PICHA NA SIMON KABENDERA TABORA
0 comments:
Chapisha Maoni