MTU MMOJA ALIYEFAHAMIKA KWA JINA MOJA LA SHIRIMA AMBAYE PIA NI MFANYIBIASHARA KATIKA SOKO LA KARIAKOO JIJINI DAR ES SALAAM AMEJIRUSHA KUTOKA GHOROFA YA TISA KATIKA MOJA YA MAGOROFA YA HAPO KARIAKOO NA KUTUA JUU YA GARI NDOGO TAX NA YEYE KUJERUHIWA VIBAYA NA SASA AMEKIMBIZWA HOSIPTALINI ILI KUANGALIA AFYA YAKE KAMA YU HAI AU AMEFARIKI.
Ijumaa, 3 Mei 2013
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni