HALMASHAURI YA WILAYA YA IGUNGA MKOANI TABORA IMETOA
ZAWADI KWA MKUU WA MKOA WA TABORA BIBI FATUMA MWASSA, NA KATIBU TAWALA
BIBI KUDRA MWINYIMVUA, KWA KUFANIKISHA WILAYA YA IGUNGA KUWA, MPOKEAJI
WA RAIS WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MH. DK JAKAYA MRISHO
KIKWETE, KATIKA ZIARA YAKE MKOANI TABORA YA SIKU TANO.
RAIS ALIINGIA MKOANI
TABORA KUPITIA IGUNGA
MKUU WA MKOA WA TABORA AKIPOKEA ZAWADI.
0 comments:
Chapisha Maoni