Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib
Bilali (kulia) na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe Raymon Moshi
mara baada ya kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere jijini Dar es salaam leo Mei 11, 2013 akitokea Cape Town, Afrika
ya Kusini, alikohudhuria mkutano wa nchi SADC.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib
Bilali (kulia) mara baada ya kutua
katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es
salaam leo Mei 11, 2013 akitokea Cape Town, Afrika ya Kusini,
alikohudhuria mkutano wa nchi za SADC.
PICHA NA IKULU.


0 comments:
Chapisha Maoni