Searching...
Jumanne, 14 Mei 2013

RAIS JK ATUA DODOMA KUENDESHA KIKAO CHA KAMATI KUU CCM

Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma kwa ajili ya Kikao cha Kamati Kuu ya CCM Mei 14, 2013. Katikati ni Makamu Mwenyekiti wa CCM, Philip Magula. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!