Searching...
Jumatatu, 6 Mei 2013

MAKAMU WA RAIS NA MKUU WA KKKT WATUA ARUSHA KUWAJULIA HALI MAJERUHI WA MLIPUKO.

MAKAMU WA RAIS AKIMJULIA HALI MTOTO ALIYEJERUHIWA.
Makamu wa raisi Dk. Mohamed Gharib Bilal Pamoja na Stephen Masele wakiwapa pole majeruhi wa mlipuko wa bomu uliotokea majira ya saa 4;35 asubuhi kwenye uzinduzi wa kanisa la st.Joseph Mfanyakzi maeneo ya Olasit jijini Arusha. Picha :Mahmoud Ahmad- Arusha.
MAKAMU WA RAIS DR.MOHAMED HGARIB BILAL NA MKUU WA KANISA LA KKKT ASKOFU ALEX GEHAZ MALASUSA WAKIWAPA POLE MAJERUHI HOSIPTALINI WALIOLIPULIWA NA KITU KINACHODHANIWA KUWA NI BOMU JANA WAKIWA KANISANI JIJINI ARUSHA
Makamu wa raisi Dr. Mohamed Gharib Bilal Pamoja na Stephen Masele wakiwapa pole majeruhi wa mlipuko wa bomu uliotokea majira ya saa 4;35 asubuhi kwenye uzinduzi wa kanisa la st.Joseph Mfanyakzi maeneo ya Olasit jijini Arusha.
Askofu mkuu wa kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania (KKKT)Dkt Alex Malasusa akiwafariji wananchi baada ya kupewa nafasi ya kuwaombea majeruhi waliolazwa katika hospital ya Mount meru baada ya kulipukiwa na kitu kinachodhani kuwa ni bomu hapo jana jijini Arusha.


0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!