Searching...
Jumanne, 7 Mei 2013

KUTOKA MJENGONI DODOMA HII LEO.

Waziri wa  Nchi Ofisi  ya  Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Hawa Ghasia akizungumza jambo na Mbunge  wa Viti Maalum –CCM  lediana Mng’ong’o wakati wakitoka nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo.
Mbunge wa  Viti  Maalum- CHADEMA Chiku  Abwao akitoka nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo.
CIMG4535 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera , Utaribu na Bunge  William Lukuvi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Ismani, Iringa (kushoto) akizungumza jambo na Mbunge wa Jimbo la  Kigoma Kusini, David Kafulila – NCCR MAGEUZI kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo.
 Picha zote na Magreth Kinabo- Maelezo.


0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!