Searching...
Jumanne, 21 Mei 2013

KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA

IMG_1585
Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukangara  akitoa maelekezo kwa Mkurugenzi wa Sera na Mipango  Gasper Mwembezi  wa wizara hiyo. 
 
IMG_1596
Mbunge wa Kawe Mhe. Halima Mdee (CHADEMA), pamoja na Mhe. Ester Bulaya (Viti Maalumu-CCM)) wakiingia bungeni leo. 
 
IMG_1604
Waziri wa Maliasili na Utalii pamoja na Manaibu Waziri kutoka Wizara mbalimbali wakisikiliza michango ya wabunge wakati wa kujadili bajeti ya Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo 
 
IMG_1625
Naibu Waziri wa Kilimo,Chakula na Ushirika Mhe. Adam Malima akijibu  maswali ya wabunge bungeni leo. 
 
IMG_1656
Waziri wa Nchi ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu) Mhe. wasira akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo leo. 
 
IMG_3844
Mhe. Michael Leizer (Longido),Mhe.Rita Kabati (Viti maalumu CCM) na Mhe. Deogratius Ntumazina(Ngara) wakiingia bungeni leo. 
 
IMG_3920
Wabunge wakitoka katika ukumbi wa bunge baada ya kipindi cha asubuhi kumalizika

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!