MHESHIMIWA SPIKA ANNE MAKINDA
Spika
wa Bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania mheshimiwa ANNE MAKINDA jioni hii katika kikao cha bunge kinachoendelea ameikataa hoja ya kutengua baadhi ya kanuni za bunge ili
kuruhusu wabunge kuchangia mjadala wa kuihoji serikali kuhusu
utekelezaji wa ripoti ya haki za binadamu na utawala bora .
hii ni baada ya waheshimiwa wabunge kuomba muongozo wa kutengua kanuni za bunge kama ambavyo imekua ikifanyika katika hoja zingine lakini kwa hili la kuhojiwa serikali kuhusu utekelezwaji wa ripoti ya haki za binadamu na utawala bora amekataa mheshimiwa spika.
0 comments:
Chapisha Maoni