Searching...
Jumanne, 21 Mei 2013

..HATARIIIIIII...MAJI BANDIA YAINGIA DAR ES SALAAM,YAWA TISHIO KWA WAKAZI WA JIJI.

maj a5499
 Wananchi wakimuhoji mfanyabiashara wa maji aliyedaiwa kuuza maji feki tukio hili limetokea leo jijini Dar es Salaam.

mj1 61560

Mfanyabiashara wa maji aliyetambulika kwa jina la Kigira Mhisho(15) akimwaga maji baada ya kubainika kuwa anauza maji bandia
mj3 1a925

Wananchi wakifuatilia mzozo baina ya mfanyabiashara wa maji na mteja wake baada ya kubainika kwamba amemuuzia maji bandia
Mfanyabiashara huyo ametambulika kwa jina la Kagira Mhisho mwenye umri wa miaka 15 inaseemekana kuwa amekuwa akifanya biashara hiyo kwa kutumia maji kutoka sokoni kariakoo kwa takribani miaka mitatu sasa.Ninvyema wananchi wakajihadhari na maji yanayouzwa njiani kwani baadhi ya wafanyabiashara wasiowaaminifu huokota chupa zilizokwisha tumika na kuzitumia.Ninashauri vyombo husika katika ukaguzi na kujali afya za walaji kuingilia kati ili
kuepusha wananchi kupata maradhi mbalimbali.(PICHA NA Frank Shija - MAELEZO

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!