Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania aliyemaliza
muda wake Dkt.Valentino Mokiwa(katikati) akimtambulisha kwa Rais Dkt.Jakaya
Mrisho Kikwete Askofu Mkuu wa Canterbury
Justin Portal Welby muda mfupi kabla ya kuanza kwa ibada ya kumtawaza askofu
Mkuu Mpya wa Kanisa hilo hapa nchini Askofu Jacob Erasto Chimeledya
iliyofanyika katika Kanisa kuu la Roho Mtakatifu Dodoma.
Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana nchini aliyemaliza
muda wake Dr.Valentino Mokiwa akimtawaza aksofu Mpya wa Kanisa hilo Askofu Dkt.
Jacob Erasto Chimeledya wakati wa ibada iliyofanyika katika kanisa Kuu la Roho
Mtakatifu mjini Dodoma leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Askofu
Mkuu Mpya wa Kanisa la Anglikana nchini Askofu Dkt.Jacob Erasto Chimeledya
wakati wa ibada ya kumtawaza kuwa askofu Mkuu iliyofanyika katika kanisa Kuu la
roho Mtakatifu,mjijni Dodoma Leo. (picha na Freddy Maro).
0 comments:
Chapisha Maoni