Picha
hizi zinaonesha maeneo mbalimbali ya barabara wilayani Makete mkoani
Njombe ambazo zimeharibikakutokana na mvua zilizokuwa zikinyesha
wilayani humo, kwa hivi sasa mvua zimemalizika tunaomba wahusika waanze
kuzifanyia ukarabaiti(Picha na Edwin Moshi)
Jumamosi, 18 Mei 2013
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni