Searching...
Jumamosi, 25 Mei 2013

CHINUA ACHEBE WA "The Things Fall Apart"AZIKWA-JENEZA LAKE LATIA FORA-ANGALIA HAPA

 

Jeneza la CHINUA ACHEBE likiwa limebebwa na vijana maalumu tayari kwa mazishi.

 
Jeneza lililobeba mwili wa marehemu Chinua Achebe
 
 
Raisi wa Nigeria Goddlucky Jonathan Akiwapungia waombolezaji
 
Mmoja wa waombelezaji ambaye ni muuzaji wa vitabu hapo Nigeria akiwa amebeba bango linalooshesha picha ya marehemu CHINUA ACHEBE
 
Raisi wa Nigeria na Raisi wa Ghana wakiwapungia waombolezaji 
 
Mke wa Marehemu Christie Achebe 
RIP Chinua Achebe enzi za uhai wake..nakikumbuka sanaaa kitabu chake cha 'Things Fall Apart'

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!