Searching...
Jumamosi, 25 Mei 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA LEO JUMAMOSI MAY 25,2013 UKIWA NA ANGALIZO



           WIZARA YA UCHUKUZI
                               MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 25/05/2013.


[Mikoa ya Kigoma, Kagera na Rukwa]:

Hali ya mawingu kiasi,  mvua  na ngurumo katika  maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya  Iringa  na Mbeya (Maeneo ya Miinuko)]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika  maeneo  machache   na vipindi  vya jua
[Mikoa ya Morogoro, Ruvuma ,Lindi, na Mtwara]:
[Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:
[Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mikoa ya Mara, Mwanza na Shinyanga]:
[Mikoa ya Tabora, Singida na Dodoma]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

ANGALIZO: 
UPEPO MKALI NA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOFIKIA MITA 2 YANATARAJIWA KATIKA   

                         BAADHI YA MAENEO YA PWANI YOTE.    TAFADHALI CHUKUA TAHADHARI.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
               23°C               
12:28
D'SALAAM
            31°C           
12:11
DODOMA
29°C
12:26
KIGOMA           
29°C
12:52
MBEYA
24°C
12:31
MWANZA
30°C
12:43
TABORA
30°C
12:40
TANGA
30°C
12:15
ZANZIBAR
            31°C           
12:11
PEMBA
             29°C           
12:04
MOROGORO
             29°C           
12:18

Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 40 kwa saa; kutoka  Kusini kwa Pwani  ya
                              Kaskazini na kutoka Kusini Mashariki kwa pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa .

Matazamio kwa usiku wa leo Jumamosi: 25/05/2013: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 25/05/2013.

  Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!