Waziri wa
Viwanda na Biashara,Dr. Abdallah Kigoda akiwasilisha bajeti ya Wizara
yake Bungeni Mjini Dodonoma May 15,2013.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Arusha Mjini-Chadema , Godbless Lema,
Bungeni Mjini Dodoma May 15,2013.
Waziri
Mkuu,Mizengo Pinda akifurahia jambo katika mazungumzo kati yake na
Mbunge wa Viti Maalum, Margaret Sitta kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma, May 15,
2013.
Waziri
Mkuu,Mizengo Pinda akifurahia jambo katika mazungumzo kati yake na
Mbunge wa Viti Maalum, Margaret Sitta (katikati ) na Mbunge wa
Korogwe, Stephen Ngonyani kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma, May 15,
2013.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Meneja Mkuu wa Kampuni ya AVIC
International Ya Beijing China, Bibi Yab Qiong (watatu kushoto), Naibu
Mkurugenzi Mkuu wa Masoko wa Kampuni ya CATIC ya Beijing China, Johnson
Wang (wapili kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya CATIC nchni,
Bw. Simon Xu, ofisini kwake mjini Dodoma, May 15, 2013.
Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu
0 comments:
Chapisha Maoni