CHELSEA USO KWA USO NA BENFICA FAINALI KOMBE LA UROPA USIKU
Home
»
Unlabelled
» CHELSEA USO KWA USO NA BENFICA FAINALI KOMBE LA UROPA USIKU
ZILIKUA ZINASUBIRIWA SIKU SASA ZIMEBAKI SAA KADHAA KUWEZA KUSHUHUDIA FAINALI YA KOMBE LA UROPA KOMBE LINALOCHUKULIWA KAMA MDOGO WAKE KLABU BINGWA ULAYA AMBAPO USIKU WA LEO MATAJIRI WA LONDON WATASHUKA KWENYE UWANJA MKUBWA NA WAKIHISTORIA HUKO AMSTERDAM ARENA NCHINI UHOLANZI AMBAPO WATAPEPETANA VIKALI NA TIBU YA BENIFIKA KUTOKA URENO.
0 comments:
Chapisha Maoni