African
Women Entreprenuership Programme (AWEP) Tanzania Chapter imezinduliwa
rasmi jioni hii katika hoteli ya Double Tree,mgeni rasmi akiwa ni Waziri
wa Viwanda na Biashara ,Abdallah Kigoda ,pamoja na Balozi wa Marekani
nchini Alfonso Lenhardt
Hii
ni Ngao iliyobidhiwa rasmi na Sylvia Banda ambaye ni balozi na
mwenyekiti wa AWEP Zambia ,kudhihirisha kuwa AWEP Tanzania imezinduliwa
rasmi kwa kuikabidhi kwa Mgeni rasmi wa Waziri wa Viwanda na Biashara
,Abdallah Kigoda na Balozi wa Marekani nchini ,Alfonso Lenhardt
Madam
Sylvia Banza, Balozi wa AWEP Zambia akiikabidhi ngao hii , ambayo nae
alikabidhiwa na Mama Bill Clinton alipoizindua AWEP Zambia mwaka juzi
Mwenyekiti wa AWEP Tanzania, Bi Flotea Masawe.
0 comments:
Chapisha Maoni