Searching...
Jumamosi, 20 Aprili 2013

RAIS KIKWETE NA UJUMBE KUTOKA NA RAIS WA SHIRIKISHO LA WENYE VIWANDA WA UTURUKI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Rais wa Shirikisho la Wafanyabiashara na wenye viwanda la Uturuki (TUSKON) Bw. Rizanur Meral na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es salaam.
Picha na IKULU

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!