Searching...
Alhamisi, 18 Aprili 2013

WAZIRI MKUU BUNGENI DODOMA LEO

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu maswali Bungeni mjini Dodoma Aprili 18,2013
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Kilimo , Chakula na Ushirika, Eng. Christopher Chiza kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 18 ,2013.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!