Askari wa Bunge (kulia) wakimwamuru Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lisu kutoka nje ya ukumbi wa Bunge baada ya Naibu Spika Job Ndugai kumtaka afanye hivyo na kukaidi. Wengine pichani ni wabunge wa Chadema wakizuia asitoke Aprili 17, 2013.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi (kulia) akizungumza na wabunge wa CHADEMA baada ya kikao cha Bunge kuahirishwa jana mchana. Picha na Edwin Mjwahuzi na Ofisi ya Waziri Mkuu