Waziri
Mkuu wa Uholanzi Mark Rutte akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete katika ofisi yake na kufanya naye mazungumzo jana Jijini The
Hague.Rais Kikwete alikuwa katika ziara rasmi ya siku mbili nchini
Uholanzi kwa mwaliko wa Waziri mkuu wa Nchi hiyo.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisisitiza jambo wakati alipokuwa
akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari mwishoni mwa ziara
yake rasmi ya siku mbili nchini Uholanzi jana.Kulia nia Waziri Mkuu wa
Uholanzi Mh.Mark Rutte.Picha na Freddy Maro-IKULU
0 comments:
Chapisha Maoni