baadhi
ya wanafunzi wakifanya mafunzo ya ukocha kwa vitendo yaliokuwa
yakiendeshwa na kituo cha International Insparation kanda ya kaskazini
kwenye viwanja vya sheikh Amri Abeid jijini Arusha.
picha
ya pamoja baada ya kumaliza mafunzo yao wakiwa na nyuso za furaha baada
ya kutunukiwa vyeti na katibu wa baraza la michezo la taifa Henry
Lihaya kwenye uwanja wa Seikh AmriAbeid jijini Arusha.
******
0 comments:
Chapisha Maoni