Searching...
Jumamosi, 20 Aprili 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA JUMAMOSI APRIL 20



           WIZARA YA UCHUKUZI
                               MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 20/04/2013.


[Mikoa ya Kagera, Mara, Mwanza  na  Shinyanga]:
[Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:
[Mikoa ya Kigoma, na Tabora]:
Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika  maeneo machache na vipindi  vya jua

[Mikoa ya Dar es Salaam,  Pwani na Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mikoa ya Dodoma na Singida ]:
[Mikoa ya  Iringa, Mbeya na Rukwa]:
[Mkoa ya Morogoro ]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache  na vipindi  vya  jua.

[Mikoa ya Lindi  na Mtwara]:
[Mkoa wa Ruvuma]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi  vya  jua.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
26°C               
12:36
D'SALAAM
32°C           
12:23
DODOMA
30°C
12:37
KIGOMA           
28°C
01:02
MBEYA
25°C
12:45
MWANZA
27°C
12:50
TABORA
29°C
12:50
TANGA
32°C
12:25
ZANZIBAR
32°C           
12:23
PEMBA
31°C           
12:25
MOROGORO
30°C           
12:32

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka  kusinimashariki kwa kasi ya km 20 kwa saa katika Pwani ya Kaskani na kutoka kusini kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa  pwani  ya kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi madogo madogo.

Matazamio kwa usiku wa leo Jumamosi 20/04/2013: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 20/04/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!