BAADHI YA VIONGOZI WA MKOA WA TABORA WAKIBADILISHANA MAWAZO KUHUSU MCHAKATO WA KUANZISHA AU KUFUNGUA KIWANDA HICHO CHA ASALI TABORA.
MIZINGA YA NYUKI YA SHAMBA DARASA KWAAJILI YA UFUGAJI NYUKI KISASA ENEO LA KIPALAPALAMKOANI TABORA
WACHINA WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA VIONGOZI WA MKOA WA TABORA ,KATIBU TAWALAMSAIDIZI STEVEN BUSHIRI NA MKUU WA WILAYA YA TABORA MJINI BWANA SULEIMAN KUMCHAYA
VIFAA VINAVYOTUMIKA KUTENGENEZEA ASALI TEKNOLOJIA YA KIZAMANI AMBAYO ITAONDOLEWA BAADA YA WACHINA KUFUNGUA KIWANDA KIKUBWA NA CHA KISASA.
WENYEJI NA WAGENI KATIKA PICHA YA PAMOJA
PICHA NA HABARI KWA HISANI YA SIMON KABENDERA - TABORA
0 comments:
Chapisha Maoni