MAPOROMOKO YA MTO KIMANI WILAYANI MAKETE MKOANI NJOMBE.
Picha zote zinaonesha mandhari ya maporomoko ya mto Kimani uliopo kata ya Mfumbi wilayani Makete, watalii wengi huja eneo hilo kutalii na kufurahia maporomoko ya mto huo
Hii sehemu ni tulivu na haina usumbufu wa aina yeyote hivyo manaopenda kuja Makete kujionea wenyewe karibuni sana
Picha na habari kwa hisani ya EDDYMOOBLAZE BLOGSPOT
0 comments:
Chapisha Maoni