WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12
ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE30/04/2013.
[Mikoa ya Kagera, Mara,
Mwanza na Shinyanga]:
[Mkoa wa Kigoma]:
|
![]() |
Hali ya mawingu kiasi, mvua
na ngurumo katika maeneo machache na
vipindi vya jua
|
[Mikoa ya Dar Es Salaam,
Pwani na Tanga]:
[Mikoa ya Kilimanjaro,
Arusha na Manyara]:
[Mikoa ya Morogoro, Mtwara
na Lindi]:
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
|
![]() |
Hali ya mawingu kiasi na
mvua katika
maeneo machache na vipindi
vya jua.
|
[Mikoa ya Tabora na
Ruvuma]:
[Mikoa ya Dodoma na Singida
]:
[Mikoa ya Rukwa, Iringa na
Mbeya]:
|
![]() |
Hali ya mawingu kiasi na
vipindi vya jua.
|
TAHADHARI:
UPEPO MKALI NA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOFIKIA MITA 2 YANATARAJIWA KATIKA
BAADHI YA MAENEO YA
PWANI YA KUSINI .TAFADHALI CHUKUA TAHADHARI.
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango cha juu cha
joto
|
Machweo (Saa)
|
ARUSHA
|
24°C
|
12:33
|
D'SALAAM
|
29°C
|
12:19
|
DODOMA
|
28°C
|
12:34
|
KIGOMA
|
26°C
|
12:59
|
MBEYA
|
22°C
|
12:40
|
MWANZA
|
27°C
|
12:49
|
TABORA
|
28°C
|
12:47
|
TANGA |
27°C
|
12:22
|
ZANZIBAR
|
29°C
|
12:19
|
PEMBA
|
27°C
|
12:22
|
MOROGORO
|
29°C
|
12:26
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma
kutoka Kusini kwa kasi ya km 30 kwa saa katika Pwani ya
Kaskazini na
kutoka Kusini-Mashariki kwa kasi ya km 40 kwa saa katika Pwani ya Kusini.
Hali ya
bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi makubwa.
Matazamio kwa
usiku wa leo Jumanne: 30/04/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo
tarehe 30/04/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
0 comments:
Chapisha Maoni