Searching...
Jumatatu, 29 Aprili 2013

TAASISI YA HASSAN MAAJAR TRUST HMT NA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA WATOA MSAADA WA MADAWATI SINGIDA.

KIBAO CHA SHULE YA MSINGI MISUNA MOJA YA SHULE ZILIZOFAIDIKA NA MSAADA HUO KUTOKA TAASISI YA HASSAN MAAJAR TRUST HMT NA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA NHC.
WATOTO WAKIMSIKILIZA MKUU WA MKOA PAMOJA NA WATOAJI WA MSAADA HUO HMT NA NHC.
MKUU WA MKOA WA SINGIDA DR.PARSEKO KONE AKIKATA UTEPE WA MSAADA HUO WA MADAWATI KUTOKA HMT NA HNC.
MKURUGENZI MTENDAJI WA TAASISI YA HASSAN MAAJAR TRUST ZENA TENGA AKISOMA TAARIFA YA MSAADA HUO,PEMBENI KUSHOTO NI KAIMU MWENYEKITI WA TAASISI HIYO MR.SHARRIF MAAJAR AKISIKILIZA KWA MAKINI TAARIFA HIYO.
MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA NHC BWANA.NEHEMIAH MCHECHU AKISOMA TAARIFA KUHUSU MSAADA HUO.
MKUU WA MKOA WA MKOA WA SINGIDA BWANA PARSEKO KONE AKITOA RISALA YAKE YA SHUKRANI KWA HMT NA NHC AKIPOKEA MSAADA HUO.
MUONEKANO WA MADAWATI YALIYOTOLEWA NA TAASISI YA HASSAN MAAJAR TRUST HMT NA SHIRIKA YA NYUMBA KAMA YANAVYOONEKANA PICHANI.
MKUU WA MKOA NA WANAFUNZI WAKIPOKEA MSAADA HUO WA MADAWATI
WANAFUNZI WAKIWA KATIKA NYUSO ZA FURAHA TAYARI KUPOKEA MSAADA HUO WA MADAWATI KUTOKA TAASISI YA HASSAN MAAJAR TRUST NA NHC MKOANI SINGIDA.

KAIMU MWENYEKITI WA TAASISI YA HASSAN MAAJAR TRUST BWANA.SHARIFF MAAJAR AKITOA SALAM KWA MKUU WA MKOA WA SINGIDA BWANA PARSEKO KONE BAADA YA KUKABIDHI MSAADA HUO WA MADAWATI.
PICHA ZOTE NA AFISA HABARI WA HMT.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!