Kocha wa sunderland Paolo Di Canio.
Kocha wa sunderland Paolo Di Canio amelazimika
kuomba radhi mashabiki wa timu hiyo kufuatia kipigo cha mabao sita kwa moja
kutoka kwa klabu ya Aston Villa katika uwanja wa Villa Park.
Mchezaji Christian Benteke ndiye aliyekua mwiba
mchungu wa Di Canio baada ya kuingia nyavuni mara tatu katika dakika ya 53,60
na 72 huku magoli mengine yakifungwa na Ron vlaar dakika ya 30,Danny Rose
dakika ya 32 na Andreas
Weimann dakika ya 38.Na kuiwezesha timu hiyo kufikisha point
37 sawasawa na Sunderland na hivyo kujihakikishia kwa asilimia Fulani kutokushuka
daraja.
"Tunaomba radhi kwa wapenzi na mashabiki
wa timu yetu waliosafiri kuja kutupa sapoti kwa kipigo hichi kikubwa’ alisema
kocha huyi wa paka weusi" said Black Cats Paolo Di Canio.
0 comments:
Chapisha Maoni