LEMA AKIWA NA MBUNGE MWENZAKE PAMOJA NA MKEWE MAHAKAMANI LEO ASUBUHIII KABLA YA KUPEWA DHAMANA
BAADA YA KUACHIWA KWA DHAMANA WANANCHI WALIPUKA NA KUSEMA MMETUHITA WENYEWE WALA MSIJILAUMU
WATU WAKITOKA MAHAKAMANI.
WATU WALIKUWA WENGI ILIBIDI LEMA APANDE JUU YA GARI YEYE NA NASARI
KUWASIHI NA KUWASHUKURU HUKU AKIWAOMBA WAENDE NYUMBANI WASUBURI MKUTANO
SIKU YA ALHAMISI.
VIONGOZI WA CHADEMA WAKIONGEA NA WANA HABARI LEO BAADA YA LEMA KUACHIWA KWA DHAMANA.
PICHA ZOTE NA MDAU PAMELA MOLLEL
0 comments:
Chapisha Maoni