WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12
ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 08/04/2013.
[Mikoa ya Dar es Salaam, na Tanga,
[Mikoa ya Morogoro na Pwani]:
[Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:
[Mikoa ya Dodoma na Singida ]:
[Mikoa ya
Mbeya na Iringa]:
[Mkoa wa Ruvuma]:
|
Hali ya mawingu kiasi ,mvua
na ngurumo katika maeneo machache na
vipindi vya jua.
|
|
[Mikoa ya Kagera, Mara, Mwanza na
Shinyanga]:
[Mikoa ya Kigoma, na Tabora]:
[Mikoa ya Rukwa]
|
Hali ya mawingu, mvua na
ngurumo
Katika baadhi ya maeneo
na vipindi vifupi vya jua
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango cha juu cha
joto
|
Machweo (Saa)
|
ARUSHA
|
27°C
|
12:44
|
D'SALAAM
|
32°C
|
12:33
|
DODOMA
|
30°C
|
12:47
|
KIGOMA
|
30°C
|
01:11
|
MBEYA
|
24°C
|
12:56
|
MWANZA
|
28°C
|
12:58
|
TABORA
|
27°C
|
12:59
|
TANGA |
31°C
|
12:34
|
ZANZIBAR
|
31°C
|
12:33
|
PEMBA
|
30°C
|
12:29
|
MOROGORO
|
28°C
|
12:35
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-mashariki kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa pwani yote.
Hali ya bahari:
Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa
kiasi.
Matazamio kwa
siku ya Jumapili 08/04/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo
tarehe 08/04/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
0 comments:
Chapisha Maoni