Searching...
Jumatatu, 8 Aprili 2013

MAANDALIZI YA MGOMO WA WAALIMU TENA

Rais wa chama cha waalimu Tanzania CWT Bwana Gratian Mukoba na Katibu mkuu wa chama hicho Bwana Ezekiah Oluoch wakizungumza na waandishi wa habari kuhusu madai ya malipo yao kabla ya kufanya mgomo
Picha na habari kwa hisani ya Godfrey Monyo

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!