HILO NI LORI LA MAFUTA LILILOKUWA HATARINI KUTUMBUKIA MTO WAMI.
HUO NI MSURURU WA MAGARI UKISUBIRI LORI HILO KUONDOLEWA DARAJANI WAMI
ASKARI WA USALAMA WA BARABARANI PAMOJA NA WANANCHI WAKIANGALIA NAMNA YA KUFANYA ILI KULIONDOA LORI DARAJANI WAMI
ABIRIA WENGINE WAKAAMUA KUWA WATALII.
0 comments:
Chapisha Maoni