Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akisalimiana na Viongozi wa CCM Mkoa wa Kusini
Unguja.alipowasili Dunga Ofisi Kuu ya Cahama Wilaya ya kati akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja
Unguja.alipowasili Dunga Ofisi Kuu ya Cahama Wilaya ya kati akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akifungua pazia kuweka jiwe la msingi jengo la Afisi ya CCM Wadi ya Jumbi,Jimbo la Koani Wilaya ya kati Unguja katika ziara za kuimarisha Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akivalishwa shada la mauwa na kijana Chipukizi wa CCM Cleopatra Saidi Omarn wa Dunga Wilaya ya kati alipoanza ziara ya Chama cha Mapinduzi katika wilaya hiyo leo.
Wanachama wapya wa Chama cha Mapinduzi na
Jumuiya
zake wakila kiapo cha Utii baada ya kukabidhiwa kadi zao na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,Jimbo la Koani Wilaya ya Kati Unguja katika ziara za kuimarisha Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini
Unguja.

[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
0 comments:
Chapisha Maoni