Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Wiliam Mgimwa akisaini mojawapo ya mikataba ambapo Serikali ya Tanzania imepata bilioni 341.
Waziri wa Fedha Mhe Dkt. Wiliam
Mgimwa pamoja na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia Tanzania, Rwanda,
Uganda na Burundi Bw. Philippe Dongier wakijadiliana jambo kabla ya
kusaini mikataba hiyo.
Kutoka
kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Sheria Bi. Susan Mkapa pamoja na
wanasheria wa Benki ya Dunia wakifuatilia kwa makini wakati Waziri wa
Fedha Mhe. Dkt. Mgimwa pamoja na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia
Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Philippe Dongier wakitia sahii
mikataba hiyo.
Waziri
wa Fedha Mhe Dkt. Wiliam Mgimwa pamoja na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya
Dunia Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Philippe Dongier
wakijadiliana jambo kabla ya kusaini mikataba hiyo.
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Wiliam
Mgimwa wakibadilishana mkataba na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia
Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Philippe Dongier.
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Wiliam Mgimwa akisoma
hotuba baada ya kusaini mikataba mitatu ya jumla ya shilingi bilioni
341 huku akishuhudiwa na ujumbe wa Benki ya Dunia ukiongozwa na
Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi
Bw. Philippe Dongier.
Ujumbe wa Tanzania na Benki ya Dunia wakishuhudia tukio la utiaji saini wa mikataba hiyo.
Ujumbe wa Tanzania waliohudhuria utiaji saini mikataba hiyo mitatu.
Picha zote na Bi. Ingiahedi Mduma na Bi. Eva Valerian – Washington DC
0 comments:
Chapisha Maoni