Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein
(kulia) akizungumza na Uongozi Ofisi ya Fedha Uchumi na Mipango ya
Maendeleo, katika utekelezaji wa kazi za Ofisi hiyo, katika Ukumbi wa
mikutano Ikulu Mjini Zanzibar (kulia) Katibu Mkuu Baraza la Mapinduzi
na Katibu Mkuu Kiongozi Dk. Abdulhamid Yahaya Mzee.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein
(kushoto) akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Rais (Fedha Uchumu na Mipango
ya Maendeleo) katika utekelezaji wa kazi za Ofisi hiyo, katika Ukumbi
wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar,(kushoto) Makamo wa Kwanza wa Rais
Maalim SEif Sharif Hamad.
Picha na Ramadhan Othman, Ikulu
0 comments:
Chapisha Maoni