Searching...
Jumatatu, 22 Aprili 2013

TAPELI ALIYEMTAPELI MH.LOWASA ATIWA MBARONI

maofisa  wa  polisi mkoa wa  Iringa   wakiweka mtego  nje ya 
 ukumbi wa St Dominic  ili kumnasa
  tapeli  huyo anayejiita ni mtoto  wa
  waziri Lukuvi  na kutapeli  watu
Tapeli  anayetapeli  watu maeneo
 mbali mbali ya Tanzania  kupitia jina
 la  waziri Lukuvi akiingizwa ktk  gari maalum leo
Tapeli  Jonathan Wiliam Lukuvi 
feki akitiwa matatani askari kanzu  Iringa
Mkuu  wa  mkoa  wa Iringa Dkt 
 Christina  Ishengoma ,askofu Dkt  
Boaz Sollo na Waziri mkuu wa
  zamani Edward  Lowassa akimsikiliza
 tapeli huyo akimpa maneno ya kitapeli  Lowassa
Kijana  huyo Tapeli akimsomesha   waziri Lowassa ukumbini kwa  kuahidi kuchangia 100,000 huku  akimwomba  kumsaidia misaada  zaidi
Hapa akipelekwa  katika gari
 maalum Hapa akiingizwa katika 
Taxi tayari  kwenda  polisi
Kijana ambae amekuwa akiwaliza 
 watumishi mbali mbali wa umma na watu 
 binafsi  kwa  kutumia jina la waziri wa nchi
  ofisi ya  waziri mkuu  sera na uratibu 
 wa bunge kijana Jonathan 
Wiliam Lukuvi( si jina lake halisi)
amekamatwa katika hafla ya kanisa la 
Overcomers FM akitaka  kumtapeli  waziri mkuu  wa zamani  Edward Lowassa kupitia harambee  hiyo.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!