
Askofu
wa kituo cha maombezi na uponaji cha Overcomers Power Center (OPC)
Dkt Boaz Sollo (kushoto) akimakabidhi tuzo ya heshima mfano wa ramani
ya Tanzania waziri mkuu wa zamani Edward Lowassa jana katika hafla
ya kuchangia ujenzi wa kanisa na kuendeleza kituo cha radio Overcomers
Fm ,katika harambee hiyo Lowassa aliahidi kuachangia milioni 15 na
kufanikisha kupata Tsh zaidi ya milioni 75 zikiwemo fedha taslimu na
ahadi .

waziri mkuu wa zamani Edward Lowassa akionyesha tuzo
ya heshima mfano wa ramani
ya Tanzania aliyotunukiwa, kushoto kwake ni Askofu
wa kituo cha maombezi na uponaji cha Overcomers Power Center (OPC)
Dkt Boaz Sollo Mheshimiwa Lowassa Alikabidhiwa Tuzo Hiyo katika hafla
ya kuchangia ujenzi wa kanisa na kuendeleza kituo cha radio Overcomers
Fm ,katika harambee hiyo Lowassa aliahidi kuachangia milioni 15
nakufanikisha kupata Tsh zaidi ya milioni 75 zikiwemo fedha taslimu na
ahadi .Picha na Habari na Mdau Francis Godwin
0 comments:
Chapisha Maoni