GODFREY MONYO NA RAIS MSTAAFU ALLY HASSAN MWINYI.
Mwandishi mwandamizi wa blog hii Comrade Godfrey Monyo akiwa katika picha ya pamoja na Rais Mstaafu wa awamu ya pili "mzee wa ruksa" Mheshimiwa Alhaji Ally Hassan Mwinyi nyumbani kwake muda mfupi baada ya kuzungumza na waandishi wa habari kuhusu sakata la uchinjaji ambapo amesema hakuna haja ya kuwa na maduka ya nyama zilizonjinjwa kwa ajili ya waislamu na wengine kwaajili ya wakristu na badala yake watanzania wawe kitu kimoja.
0 comments:
Chapisha Maoni