Searching...
Jumatano, 17 Aprili 2013

.......BREAKING NEWSSSS!!!!!! BI KIDUDE AFARIKI DUNIA.....

VILIO NA MAJONZI ZANZIBAR.
MAREHEMU FATUMA BI BARAKA MAARUFU KWA JINA LA BI.KIDUDE.
Taarifa kutoka visiwani zanzibar zinasema muda mfupi uliopita mwanamuziki mkongwe hapa nchini bi.Kidude amefariki dunia kutokana na ugonjwa wa kisukari.
akizungumza na blog hii Mwanahabari Farook Karim amesema Bi.Kidude amefariki huko eneo la raha leo na kwa sasa kinachosubiriwa ni maamuzi ya familia kwamba azikwe lini na wapi.
MWENYEZI MUNGU AILAZE MAHALI PEMA PEPONI ROHO YA MAREHEMU FATUMA BINTI BARAKA AMEEEEEN.
Taarifa zaidi utazipata hapahapa MCHOME BLOG.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!