
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete amepokea hati za utambulisho kutoka kwa
mabalozi wanne wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini.Walioziwasilisha hati zao
ni pamoja na Balozi Mpya wa Morocco nchini Tanzania Mhe.Abdelilah
Benryane, Balozi mpya wa Hungary Mhe.Sandoz Juhasz,Balozi mpya wa
Austria Mhe. Christian Hasenbichler na Balozi Mpya wa Chille nchini
Mhe.Konrad Paulsen.Pichani Balozi Mpya wa Morocco Mhe.Abdelilah Benryane
akiwailisha hati zake za utambulisho kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
ikulu jijini Dar es Salaam .Picha na Freddy Maro-IKULU
0 comments:
Chapisha Maoni