Mkurugenzi
Mtendaji wa benki ya Barclays Tanzania, Kihara Maina, akizungumza na
waanbdishi wa habari Makoa Makuu ya Benki hiyo jijini Dar es Salaam juu
ya mchakato wa Matembezio ya Hisani ya Step Ahead mwaka huu ambayo
yatafanyika Juni 8, 2013 na yatakuwa ya Kilometa 5 ambapo Mgeni Rasmni
anataraji kuwa Dk. Asha-Rose Migiro. Pamoja nae ni Naibu Afisa Mtendaji
Mkuu wa Hospitali ya CCBRT, Susan Boon.
Mkurugenzi wa AMREF Tanzania Dr, Festus Ilako (kulia) akizungumzia ushiriki wa Shirika hilo katika kufanikisha matembezi hayo ya
Hisani ya Step Ahead mwaka huu ambayo yatafanyika Juni 8, 2013 na
yatakuwa ya Kilometa 5 ambapo Mgeni Rasmni anataraji kuwa Dk. Asha-Rose
Migiro. Pamoja nae ni Naibu Afisa Mtendaji Mkuu wa Hospitali ya CCBRT,
Susan Boon (kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya Barclays
Tanzania, Kihara Maina.
Mkuu
wa Kitengo cha Mawasiliano cha Benki ya Barclays Tanzania, Tunu Kavishe
akifdafanua jambo kwa wanahabari juu ya matembezi hayo ya Hisani.
Wengine katika picha ni Naibu Afisa Mtendaji Mkuu wa Hospitali ya CCBRT,
Susan Boon (kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya Barclays
Tanzania, Kihara Maina
0 comments:
Chapisha Maoni