Dk. Mwele Malekela ambaye ni Mkurugenzi 
Mkuu wa NIMR akifungua Mjadala juu ya Utafiti wa udhibiti wa ugonjwa wa 
mabusha na matende kwa nchi za Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika. 
Baadhi ya washiriki ambao ni watafiti wakifuatilia mada za mjadala huo.
Dk. Upendo Mwingira akitoa mada yake juu
 ya matumaini ya kutokomeza Ugonjwa wa Matende na Mabusha hasa kufuatia 
utafiti wake Wilayani Tandahimba. 
Mmoja wa watafiti 
Sehemu ya washiriki wakifuatilia majadiliano hayo juu ya ugonjwa wa matende na Mabusha.
Watoa mada mbalimbali kutoka nchi za Afrika wakitoa mada zao juu ya Tathmini ya ugonjwa wa Mabusha na Matende katika nchi zao.
 
 
0 comments:
Chapisha Maoni