Searching...
Ijumaa, 19 Aprili 2013

AIRTEL NA SEMINA YA WAPIGA PICHA NCHINI.

Meneja wa Airtel Money Asupya Nalingigwa (kushoto) akiongea na waandishi wa habari katika semina ya upigaji picha iliyofanyika jijini Dar es Salaam, akifuatiwa ni Afisa uhusisano na matukio wa Airtel Dangio Kaniki na Muhadhiri wa Chuo Kikuu Richard Ndunguru.
Waandishi wa habari waliohudhuria semina ya upigaji picha iliyodhaminiwa na kampuni ya simu ya Airtel jijini Dar Es Salaam.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!