MH.LEMA SASA KUDAI MAMILIONI YA SHILINGI BAADA YA RUFAA KUTUPWA
Home
»
Unlabelled
» MH.LEMA SASA KUDAI MAMILIONI YA SHILINGI BAADA YA RUFAA KUTUPWA
Mbunge wa Arusha mjini mheshimiwa Godbless Lema akionyesha ishara ya vidole inayotumika na chama chake wakati akitoka mahakamani.
Wandishi wa habari wakizungumza na Wakili mheshimiwa Tundu Lissu aliyekuwa akimtetea mheshimiwa Lema.
Lema akizungumza na wana habari mara baada ya rufaa kutupwa na mahakama kuendelea kushikilia msimamo wake kwamba Lema ni mbunge halali wa Arusha mjini na kuwataka waliofungua kesi kulipa gharamma zote za kesi hiyo.
Lema akipongezana na Mwanasheria wa Serikali Alute Akida mara baada jopo la majaji kutoa uamuzi.
0 comments:
Chapisha Maoni