
Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiifungua Semina ya
siku moja ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar kuhusu
uimarishaji wa Jeshi la Polisi Tanzania iliyofanyika katika ukumbi wa
Juu wa Baraza la Wawakilishi Mbweni Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.

Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wawakili
wakisikiliza Hotuba ya mgeni rasmi Balozi Seif katika semina ya Wajumbe
hao kuhusu maboresho ya Jeshi la Polisi Tanzania iliyofanyika katika
Ukumbi wa juu wa Baraza hilo uliopo Mbweni nje kidogo ya Mji wa
Zanzibar

Maafisa wa ngazi ya juu wa Jeshi la polisi Tanzania walioshiriki semina ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar
wakifuatilia Hotuba ya ufunguzi wa semina hiyo uliofanywa na Makamu wa
Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kwenye ukumbi wa Baraza
hilo uliopo Mbweni.

Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wawakili wakisikiliza Hotuba ya mgeni
rasmi Balozi Seif katika semina ya Wajumbe hao kuhusu maboresho ya Jeshi
la Polisi Tanzania iliyofanyika katika Ukumbi wa juu wa Baraza hilo
uliopo Mbweni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.Picha na Hassan Issa wa -Ofisi ya Makamu wa Pili Wa Rais Zanzibar-Zanzibar
0 comments:
Chapisha Maoni