Baadhi ya wananchi na waumini wa Dini ya Kiislamu
wakilibeba Jeneza lenye Mwili wa Marehemu Haji Gharib Bilali,mdogo
wake Makamo wa Rais wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dk.Mohammed Gharib Bilal,kabla ya kuswaliwa katika msikiti wa Kilimani
Mjini Unguja leo na kuzikwa Mwera,Wilaya ya Magharibi Unguja,[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]
Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji,akiongoza
Swala ya maiti ya Marehemu Haji Gharib Bilali, Mdogo wake Makamo wa
Rais wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Mohammed Gharib
Bilal,katika msikiti wa Kilimani Mjini Zanzibar,ambapo viongozi mbali
mbali wa Kitaifa walihudhuria katika msiba huo,na kuzikwa Mwera,Wilaya
ya Magharibi Unguja.
Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.
Mohamed Gharib Bilal,akitia udongo katika kaburi la Mdogo wake
Marehemu Haji Gharib Bilali, wakati wa maziko yaliyofanyika leo jioni
huko Mwera,Wilaya ya Magharibi Unguja.
Rais wa Jamhuri ya Muungano Dk. Jakaya Mrisho
Kikwete,akitia udongo katika kaburi la Marehemu Haji Gharib Bilali,
Mdogo wake Makamo wa Rais wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dk.Mohammed Gharib Bilal, wakati wa maziko yaliyofanyika leo
jioni huko Mwera,Wilaya ya Magharibi Unguja.
mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,,akitia udongo katika kaburi la
Marehemu Haji Gharib Bilali, Mdogo wake Makamo wa Rais wa Serikali ya
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Mohammed Gharib Bilal, wakati wa
maziko yaliyofanyika leo jioni huko Mwera,Wilaya ya Magharibi
Unguja.
0 comments:
Chapisha Maoni